MIAKA 58 YA KIFO CHA PRINCE LOUIS LUDOVICK RWAGASORE: MWASISI WA TAIFA ALIYEZIMWA NA MAADUI WA UKOMBOZI

MIAKA 58 YA KIFO CHA PRINCE LOUIS LUDOVICK RWAGASORE: MWASISI WA TAIFA ALIYEZIMWA NA MAADUI WA BHNa: Leonard Chakupewa Soza, BUJUMBURA, BURUNDI. 13/10/2019. Tarehe ya leo, 13/10/1961, majira ya mchana kwa saa za Afrika ya kati, taifa changa la Burundi wakati huo, lilizizima kwa simanzi na mshtuko mkali. Tukio lililotokea siku […]